Kwa maudhui

Apostofi ya mwisho O

Mwisho O wa nomino unaweza kutolewa. Kisha mtu anaandika apostrofi badala ya O. Kutoka kwa O Kunaweza kufanyika tu wakati O haifuatani na J au N. Kwenye matamko accent inabaki palepale kama vile O bado ipo:

  • turmentoturment' (turmEnt')
  • historiohistori' (historI')
  • metroometro' (metrO').
  • ĉieloĉiel' (ĉiEl').

Haiwezekani kutumia apostrofi badala ya A, E au mwisho wa kitenzi. Kumbuka kuwa haiwezekani pia kutumia apostrofi kwenye maneno ya kumalizia na ON, OJ na OJN. Har ' daima inamaanisha haro (nywele), kamwe haron , haroj (nywele) au harojn

Kwenye orodha ya maneno yanayo malizika na O , sauti za mwisho "o" sio O kamili, na kwa hiyo haiwezi kubadilishwa na apostrofi. Haiwezekani kutumia * ki '* , * ti' * , *neni '* , anstataŭ kio, tio, io, ĉio, nenio. .

Apostrofi ya la

Irabu "a" ya kibainishi wazi la inaweza kuachwa na kubadilishwa na apostrofi → l'. Uyo mfumo wa ufupisho unapaswa kutumika tu baada ya vihusishi ambavyo vina mwisho wa irabuĉe l', tra l', pro l':

  • Liberigu nin Dio, de l' sovaĝaj Normandoj! - Tuokoe Mungu, kutoka mikononi mwa minyama wa Normandy!

Kumbuka kwamba l' imeandikwa kama neno tofauti: de l' maro (apana * de l'maro', wala si * del' maro *{ 2}).

Hasa katika poesi

Apostrofi hutumiwa hasa katika poesii ili kuepuka irabu nyingi.

Post longa migrado sur dorna la voj'
Minacis nin ondoj de l' maro;
Sed venkis ni ilin kaj velas kun ĝoj'
Al verda haven' de l' homaro.
Post longa batalo, maldolĉa turment'
La stela standardo jam flirtas en vent'.

el La Tagiĝo de Antoni GRABOWSKI

Kwa lugha ya kawaida apostrofi si nyingini. Katika mazungumzo apostrofi inatumiwa marachache.

Dank' al

Apostrofi pia hutumiwa kwa kiasili kwa maneno dank'al, ambayo inaonyesha sababu ya kitu kizuri, = "kwa sababu ya ushawishi mzuri wa". Dank'al inaonekana katika lugha zote, pia katika matumizi ya kusema:

  • Jes, dank' al Dio, ĉio estas en bona ordo. - Ndiyo, shukrani kwa Mungu, kila kitu kiko sawa.
  • Dank' al lia instruado mi sukcesis en la ekzameno. - Shukrani kwa mafundisho yake nilifanikiwa katika mtihani.

Kwa maana hiyo hiyo unaweza kutumia danke al.

Un'

Wakati mdundo, mwendoi, nk ni binahesabiwa, mfumo wa apostrofi ya namba unu (moja) inaweza kutumika:

  • Un'! du! un'! du! — La soldatoj marŝis. = Unu! du!... - Un'! du! un'! du! — La soldatoj marŝis. (moja mbili moja mbili - Askari walikwenda.)
  • "Un', du, tri, kvar", li kalkulis laŭte. = Unu, du... - "Moja, mbili, tatu, nne," alihesabu kwa sauti kubwa.

Un' inaweza kuonekana tu kwa inajitegemeya, kama matumizi ya kihisishi, kama katika mifano ya awali. Haiwezi kuonekana kwa maneno ya kawaida. Haiwezekani kwa mfano: Mi havas nur un' amikon. Kinachowezekana tu ni: Mi havas nur unu amikon.( * Nina rafiki mmoja tu.)

Kurudi juu